BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

KISA CHA WANDISHI WA HABARI WATATU KUJERUHIWA HUKO BENI KIVU..!


WAANDISHI WA HABARI WALIO JERUHIWA
Waandishi wa habari watatu, wamejeruhiwa vibaya kwa kupigwa risasi huko Beni Kivu kaskazini baada ya kushambuliwa na waasi wa ADF katika mbuga ya wanyapori ya Virunga.


Waandishi wa habari hao ni pamoja na Hangi wa redio Muungano Oicha , SUBIRI PATIENT wa redio Semuliki Beni NA KENEDY wa redio OICHA.


Mmoja kati yao hali yake ni mbaya, na wawili wanaendelea vyema.
Mungu waponye. MUNGU IBARIKI TAALUMA YA HABARI.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: