Msukuma mkokoteni wa stendi kuu ya daladala ziendazo nje ya Manispaa ya Morogoro, Dotto Mohamed akisukuma mkokoteni aliopakia tenki la kuhifadhia maji eneo la Masika baada ya kupewa kazi ya kusafirisha tenki hilo na tajiri wake kutoka katikati ya mji kwenda sehemu nyingine mkoani Morogoro, Kazi za kujiajiri husaidia vijana kutojiingiza katika vitendo vya uhalifu hapa nchini.PICHA/MTANDA BLOG
Mkuu wa mkoa wa Morogoro mstaafu, Steven Mashishanga kushoto akizungumza jambo na viongozi wa taasisi ya jamii ya Manispaa ya Morogoro mara baada ya kutoa msaada wa magodoro na mablanketi yenye thamani ya sh800,000 katika kituo cha kulelea watoto yatima cha Dar-Ul-Muslimeen cha MtoniStreet mkoani hapa.PICHA/MTANDA BLOG

0 comments:
Post a Comment