BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

PICHA BORA YA MWAKA 2015 KUTOKA NDANI YA MTANDAO WA KIJAMII WA FACEBOOK.


Picha bora ya mwaka 2015 kutoka mtandaoni.

NI KAMA:
Picha inaonyesha mmoja wa ndugu akiwapongeza mabwana harusi mara baada ya kukamilisha kwa taratibu husika.

Picha hiyo imekuwa ikisambaa kwa kasi katika mitandao mbalimbali ya kijamii mara baada ya kuwekwa mtandaoni na imekuwa ikiwavutia watazamaji wengi.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: