BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

BASI LA SAFARI NJEMA LATEKETEA KWA MOTO BAADA YA AJALI YA KUGONGANA NA LORI JIJINI DAR ES SALAAM

FB_IMG_1477837647304.jpgBasi la Kampuni ya Safari Njema lililokuwa likitokea mkoani Dodoma kuelekea katika jiji la Dar es Salama limeteketea kwa moto huku chanzo kikidaiwa kupata ajali ya kuongana na lori katika eneo la Kimara Stopover.
 Taarifa zilizopo bado hasara haijaweza kufafahamika pengine na madhara mengine yaliyojitokea ama laa kwa upande wa abiria, juhudi zinaendelea za kukusanya taarifa zaidi la tukio hilo.
Share on Google Plus

About Juma Mtanda

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
Post a Comment