BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

MBUNGE WA JIMBO LA KILOMBERO PETER LIJUALIKALI AHUKUMIWA KWENDA JELA MOROGORO

Image may contain: 1 person Picha ya maktaba ikimuonyesha mbunge Peter Lijualikali akiwa katika hekaheka na askari polisi.

Mahakama ya Wilaya ya Kilombero imemhukumu Mbunge wa jimbo la Kilombero, Peter Lijualikali kwenda jela miezi sita leo mkoani Morogoro.

Licha ya mbunge huyu kuhukumiwa kifungo hicho wapo watu wengine waliohukumiwa katika shtaka hilo.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: