BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

Millionaire  Ads

MKUU WA WILAYA ANUSURIKA KUPIGWA HUKU MWENYEKITI WA HALM AKITOROKA KWA KUVAA HIJJAB

Mkuu wa Wilaya ya Chemba-Dodoma, Simon Odunga anusurika kipigo kwa madai ya kuwatukana wananchi wa kijiji cha Mlongia.

Sakata hilo ni baada ya DC huyo kuwataka wananchi wasilime mashamba yao kwa madai kuwa eneo hilo la ekari 500 linamilikiwa na mwekezaji.

Baada ya mkuu huyo kuwatolea lugha chafu na kuamuru mwenyekiti wa kijiji akamatwe wananchi walijawa na hasira na kuanza kuushambulia msafara wake.

DC huyo alilazimika kukimbia baada ya gari lake kupigwa mawe pia baadhi ya viongozi wa wilaya akiwemo Mwenyekiti wa Halmashauri walilazimika kuvalishwa hijjab na kutoroka.MTANZANIA
Share on Google Plus

About Juma Mtanda

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
Post a Comment
Millionaire  Ads