BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

TFF YAIREJESHEA KLABU YA SIMBA SC FURAHA

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetupilia mbali rufani ya klabu ya Polisi Dar dhidi ya Simba katika kombe la FA kwa madai kwamba haikuambatana na ada ya rufaa. 

Polisi ilikata rufaa kwa madai kwamba Simba ilimjumuisha beki Novatus Lufunga katika kikosi chake wakati akiwa bado anatumikia adhabu ya kadi nyekundu aliyeonyeshwa katika mechi ya mwisho ya mashindano hayo msimu uliopita
Share on Google Plus

About Juma Mtanda

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
Post a Comment