BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

MCHUNGAJI KANISA LA PENTECOSTAL APANDISHWA KIZIMBANI KWA KUFOJI HATI YA KUSAFIRIA ARUSHA


Idara Uhamiaji mkoa wa Arusha imewapandisha kizimbani watu watano, akiwamo mchungaji wa kanisa la Pentecostal kwa kosa la kufoji hati ya kusafiria.

Akizungumza na wanahabari leo, Ijumaa, Ofisa uhamiaji mkoa wa Arusha,Ally Dady alisema raia hao wawili wenye asili ya Congo, wakiwa pamoja na mtoto wao, wamebainika kuishi nchini kinyume cha sheria na kujaribu kufoji hati ya kusafiria

Pia alisema licha kubainika kuishi kinyume na sheria nchini,wamefanikiwa kuwakamata na kuwapandisha watanzania watatu ambayo walikuwa wakiwasaidia raia hao wakikongo.


Akitaja watuhumiwa wote alisema raia hao wawili Linda Mbaki Diangwe na Glory Mwanza Lubinga walishtakiwa kwa makosa mawili ikiwamo kutoa maelezo yasiyo sahihi ili kufoji hati ya kusafiria.Mwananchi
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: