BannerFans.com

SUZAN KIWANGA, LIJUALIKALI WAONJA JOTO YA JIWE MAHAKAMANI MOROGORO

Millionaire  Ads

ALIYETEMBELEWA NA RAIS MAGUFULI MUHIMBILI AFARIKI DUNIA, NI ALIYECHORA NEMBO YA TAIFA YA ADAM NA HAWA


MSANII aliyedaiwa kuchora nembo ya Taifa yenye picha ya Adam na Hawa, Francis Maige maarufu (Ngosha) amefariki dunia usiku wa kuamkia leo.

Ngosha ambaye alikuwa akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alipopelekwa wiki iliyopita akitokea hospitali ya Amana, amefariki dunia saa 2 usiku Mei 29.

Taarifa iliyotolewa na uongozi wa Hospitali ya Muhimbili imeeleza kuwa hali ya Ngosha ilibadilika ghafla akiwa hospitali hapo. “Mwili wake umehifadhiwa katika chumba cha maiti hapa Muhimbili na taarifa zaidi zitaendelea kutolewa na mamlaka husika.” imesema taarifa hiyo.
Share on Google Plus

About Juma Mtanda

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
Post a Comment
Millionaire  Ads