BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU ATEMBELEA MAJERUHI ALIYENUSURIKA AJALI ILIYOUA WANAFUNZI 32

Makamu wa rais Samia Hassan Suluhu akimjulia hali mmoja wa wanafunzi walionusurika kifo katika ajali iliyoua wanafunzi 32, walimu wawili na dereva wao Mei 6 mwaka huu ambapo jana miili yao iliagwa katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid Arusha kisha kusafirishwa kwenda katika maeneo yao kwa ajili ya mazishi, wa kwanza kushoto ni Waziri wa Elimu, Joyce Ndalichako na Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gamba.

Share on Google Plus

About Juma Mtanda

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
Post a Comment