BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

MEYA JIJI LA ARUSHA NA WAANDISHI WAKAMATWA NA JESHI LA POLISI KATIKA SHULE YA LUCK VICENT

Mstahiki Meya wa Jiji la Arusha, Kalist Lazaro pamoja na Waandishi wa Habari na wadau wengine wamekamatwa na Polisi wakiwa kwenye utoaji pole na kukabidhi rambirambi leo kwenye shule ya Lucky Vincent jijini Arusha.

Wadau hao ambao walichanga pesa kiasi cha Tsh 28 Mil waliamua kukabidhi pesa hizo mchana wa leo kwa wahusika moja moja lakini ghafla polisi wakatokea na kuwaambia walifanya mkusanyiko usio rasmi na kuwakamata.

Tutaendelea kufuatilia ili kujua nini kinaendelea.

Share on Google Plus

About Juma Mtanda

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
Post a Comment