BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

MWANASIASA MKONGWE NA MWASISI WA CHADEMA PHILIMON NDESAMBURO AFARIKI DUNIA HOSPITALI YA KCMC

 
Mbunge wa zamani wa Jimbo la Moshi Mjini na Mwenyekiti wa Chadema Kilimanjaro, Mzee Philemon Ndesamburo amefariki dunia muda mfupi uliopita kwenye hospitali ya KCMC, kwa taarifa zaidi zitaendelea....
Share on Google Plus

About Juma Mtanda

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
Post a Comment