BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

AJALI YA BASI NDOGO NA TRENI YA ABIRIA YAUA WATU WATATU MORO

Ajali ya basi ndogo iliyokuwa imebeba wanafunzi wa sekondari na treni ya abiria imetokea Manispaa ya Morogoro na kusababisha vifo vya watu watatu na kujeruhi 29 ambao walikimbizwa hospitali ya rufaa ya mkoa wa Morogoro leo majira ya saa 7 asubuhi.

Tukio hilo lilitokea eneo la Tenesco baada ya basi hilo kutaka kupita kabla ya kuzima katikati ya njia ya reli kisha kugongwa na kusombwa umbali wa mita 100 na treni hito.

Taarifa zaidi tunaendelea kukusanya...
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: