BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

WAHARIFU WA KIMTANDAO WAICHEZEA AKILI IKULU.


RAIS DK JOHN MAGUFULI.


Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu imekanusha taarifa za uteuzi zinazosambaa mitaondaoni ikiwa na majina ya wafuasi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).

Taarifa hiyo iliyotolewa asubuhi ya leo Novemba 24, 2017 na Mkurugenzi wa mawasiliano Ikulu Gerson Msigwa imesema kwamba Rais John Magufuli hajafanya uteuzi. 


"Taarifa hii ni ya uongo imetengenezwa na wahalifu ipuuzeni Mhe. Rais Magufuli hajafanya uteuzi huu", Amesema Msigwa.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: