Mchuuzi wa mbuzi Manispaa ya Morogoro akiwa na mbuzi wakati akiwatembeleza akisaka wateja wake kwa ajili ya kitoweo cha sikukuu ya idd el futri baada ya kumalizika kwa mfungo wa mwezi wa ramadhani ikiwa ni moja ya nguzo kuu ya dini ya kiislama ambapo wamekuwa wakisherekea sikukuu hiyo duniani wote.
MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment