MSAADA WA VYANDARUA SASA MALARIA BASI.
WAKAZI WA MTAA WA MGOMBELWA KATA TA SEGEREA KATIKA JIJI LA DAR ES WAKIWA NA VYANDARUA MARA BAADA YA KUKABIDHIWA KUTOKA KWA OFISI YA SERIKALI YA MTAA HUO IKIWA NI MPANGO WA SERIKALI WA KUTOA MSAADA WA VYANDARUA KWA KILA KAYA HAPA NCHINI ILI KUWEZA KUKABILIANA NA MBU WANAENEZA UGONJWA WA MALARIA HAPA NCHINI.
0 comments:
Post a Comment