BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

SASA KIONGOZI TUONDOW FAMILIA YA BANGILI VIJANA WASIJE WAKAWAVAMIA NA KULETA MADHALA KWANI WANA HASIRA SANA HAWA WAKUTU.


MAMA MZAZI WA MFUGAJI BANGILI MWANABAHATI, BI NJILE SUBII (70) AKIONGEA NA ASKARI WALIOENDA KULIZA GHASIA ZA WAKAZI WA KIJIJI CHA KONGWA NA KUWAONDOA KABLA YA VIJANA HAO KUPANDWA NA HASIRA BAADA YA KUKOSA MTUHUMIWA WAO NA KUANZA KUCHOMA NYUMBA MOTO NNE ZA MFUGAJI HUYO AMBAPO KULIWA NA MAZAO AINA MBALIMBALI KWA AJILI YA CHAKULA.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: