BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

ABIRIA NA WAKAZI WA MKUNDI KWA MAKUNGANYA WAKIANGALIA MAJERUHI BAADA YA AJALI KUTOKEA


WANANCHI WAKISAIDIA KUWAPA HUDUMA YA KWANZA MAJERUHI WA BASI LA MASTA CITY KATIKA ENEO LA MAKUNGANYA MKUNDI BARABARA KUU DODOMA-MOROGORO, WATU WALISHUHUDIA AJALI HIYO ILISABABISHWA NA BASI HILO BAADA YA DEREVA WAKE KUSHINDWA KUONA MBELE NA KUGONGA LOGO KABLA YA KUPINDUKA NA KUJERUHI ABIRIA.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: