TUTAENDELEA KUTOA ELIMU YA MATUMIZI SAHIHI YA BARABARANI IKIWEMO KUZINGATIA SHERIA ILI KUPUNGUZA AJALI
Mkuu mpya wa kituo cha usalama barabarani mkoa wa Morogoro (OCS) Leopard Fungu kushoto akionyeshwa baadhi ya pikipiki na Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Morogoro, Gilbert Luziro kulia zilizokamatwa kufuatia operesheni maalum ya ukamataji wa pikipiki zilizovunja sheria za usalama barabarabani ikiwemo makosa ya leseni, kofia ngumu (elment) na bima ambapo kitengo kicho kinatarajia kuendelea kutoa elimu juu ya matumizi sahihi ya barabara, kuzingatia sheria pamoja na kupunguza ajali mkoani hapa.
0 comments:
Post a Comment