BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

MTU PORI A.K.A WASHAMBA AFANDE SELE.



MKALI WA RHYMS WA MWAKA 2004 HAPA NCHINI, SELEMAN MSINDI a.k.a Afande Sele AKITUMBUIZA KWENYE TAMASHA AMBALO LILIWAKUTANISHA MASTAAA WA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA KATI YA MIAKA YA 2000 HADI 2008 AMBALO LILIDHAMINIWA NA KAPUNI YA SIMU YA MKONONI YA AIRTEL NDANI YA JAMHURI WAKIWEMO WASANIII Q CHIEF, MR BLUE, MADOJO NA DOMOKAYA, MWANA FA O TEN, KUNDI LA MABAGA FRESHI TMK WANAUME HALISI NA KUNDI LA LWC HAKIKA MAMBO YALIENDA VIZURI.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: