NUSU FAINALI YA CECAFA SENIOR 2011 KUPIGWA LEO KWA MICHEZO MIWILI.
MASHINDANO YA CECAFA SENIOR CHALLENGE YANAINGIA KATIKA HATUA YA NUSU FAINALI KWA TIMU NNE LEO KUSHUKA DIMBANI KUCHEZA MICHEZO HIYO ILI KUTAFUTA TIMU MBILI ZITAZOFUZU KUCHEZA FAINALI NA MBILI ZITACHEZA KUTAFUTA MSHINDI WA TATU AMBAPO KATIKA NUSU FAINALI YA KWANZA ITAZIKUTANISHA RWANDA DHIDI YA SUDAN MAJIRA YA SAA 8 MCHANA NA WENYEJI WA MASHINDANO KILIMANJARO STARS IKIIVAA UGANDA KWENYE UWANJA WA TAIFA HUKU FAINALI IKITARAJIWA KUCHEZWA DESEMBA 10 MWAKA HUU.
0 comments:
Post a Comment