Kikundi cha sanaa za utamaduni cka Tanzania wakiimba nyimbo ya ushirikiano kati ti ya TZ na China kwa kichina katika tamasha |
Mkurugenzi wa Habari Assah Mwambene (kulia) akikaribishwa na Balozi wa China Lu Youqing katika tamasha la tamaduni kutoka China |
Mkurugenzi wa Michezo Leonard Thadeo (kulia) akibadilishana mawazo na Mkurugenzi wa Habari Assah Mwambene katika hafla ya ujue utamaduni wa China |
wamependeza na mwavazi yao hasa kichwani. |
0 comments:
Post a Comment