BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

TIMU YA MABLOGGERS FC YAITOA USHAMBA DSJ KATIKA BONANZA LA WAANDISHI WA HABARI JIJINI DAR ES SALAAM.

IMG_0002Golikipa wa timu ya Bloggers FC Othman Michuzi akinyanyuliwa na mchezaji mwenzake Mroki Mroki mara baada ya timu hiyo kuifunga timu ya DSJ penati 3-2
 IMG_0007Kikosi cha Bloggers FC kikiwa katika picha ya pamojaIMG_0022Wangenguaji wa bendi ya Extra Bongo wakiwa katika 
IMG_0063Kiongozi wa kundi la Taarab la Jahazi Mzee Yusuf akiwarusha waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali katika bonanza lililofanyika kwenye viwanja vya Leaders jijini Dar es salaamIMG_0081Waandishi wa habari wakidibwilika stejini IMG_0098Hapa ilikuwa ni fullmauno kwa wanahabariIMG_0105 
Huyu naye akatia fora wakati akicheza na Mwamvuli wakeIMG_6894 
Kikosi cha Bloggers kabla ya mchezo wa kwanza.IMG_6902 
Blogger John Bukuku wa Fullshangweblog akiwa na Blogger wa Sufianimafotoblog Muhidini Sufiani ambaye pia anaweza UDJ kama anavyoonekana hapaIMG_6932Mchezaji wa Bloggers FC Majuto Omary akimiliki mpira wakati wa mchezo wao na timu ya SIBUKAIMG_9971 
Othman Michuzi akijiandaa kudaka mpira wakati wa mchezo kati ya Bloggers FC na DSJ ambapo Bloggers imeshinda penati 3-2IMG_0031Wanenguaji wa bendi ya Extra Bongo wakionyesha uwezo waoIMG_0035 
Waziri wa Uchukuzi Dk. Harrison Mwakyembe akiwasili katika viwanja vya Leaders katika bonanza la waandishi wa habari linaloandaliwa na TASWA Kulia ni Mkuu wa Uhusiano na Sheria TBL Bw. Steven Kilindo na kushoto ni Mwenyekiti wa chama cha waandishi wa habari za michezo TASWA Juma Pinto
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: