Hapa mtoto Naomi akitoa vifaa vyake vya Uchawi.
Picha na Lewis Mbonde
Hapa ni sehemu yake ya kuondokea kwenda kufanya uchawi vitu vyake vikiwa vinaungua baada ya kuchomwa moto
Hapa wanamaombi wakivichoma moto vitu vya Kichawi vya Naomi
NI jambo la
kusikitisha na la kweli lililotokea katika kata ya Kihesa Mkoani Iringa, Mtoto mmoja kwa jina la
Naomi ambaye analelewa na shirika lisilo la kiserikali la Compassion,Kituo cha
Kihesa amestaajabisha jamii kwa kukutwa na vitu vya Kichawi nyumbani kwao
pasipo mama yake kufahamu chochote.
Chanzo chetu
cha habari kimetutonya kuwa mtoto huyo alikuwa na mambo yasiyo ya kawaida tangu
muda mrefu sana,Kwanza maendeleo yake shuleni ni hafifu pia ana tabia ya
kutoloka nyumbani au shuleni na kuelekea pahali asipopajua.
Wakati mwingine huwa
anakutwa umbali mrefu sana akiwa amezubaa tu njiani hana uelekeo, Chanzo
kinasema kuwa wakati wa maombi mototo huyo huw
a kama ni mtu aliyezama sana kwenye maombi na hupenda sana kuimbisha nyimbo za kumsifu Mungu.
a kama ni mtu aliyezama sana kwenye maombi na hupenda sana kuimbisha nyimbo za kumsifu Mungu.
Chanzo chetu
kinaendelea kusema kuwa mtoto huyu amekuwa ni kero kwa mama yake kwa tabia
yake ya kutorokatoroka nyumbani na shuleni.
Chanzo
kinasema kuwa ilikuwa ni siku ya jumamosi ambapo watoto wote wanaonufaika na
huduma hiyo hukutanika kwa ajili ya mafunzo mbalimbali yakiwemo ya kiroho, Siku
hiyo ilikuwa imepangwa kwa ajili ya maombi ya pamoja na vituo vingine
yaliyofanyika katika kanisa la kristo mfalme Mjini Iringa.
Mtoto huyo hakuwepo katika
orodha ya kati ya watoto waliochaguliwa katika msafara huo na mara nyingi
katika matukio kama hayo ya kutoka nje ya kituo huwa ni king’ang’anizi sana
hata akiachwa hukutwa katika eneo la tukio nailikua ikizaniwa ametembea kwa
mguu kufika hapo.
Siku hiyo ilikua ya kushangaza kidogo kwani walihakikisha
amezuiwa na kuachwa kituoni lakini walipofika tu getini kristo mfalme umbali wa
kilomita 7 walimkuta mtoto huyo ameshafika na ilipopigwa simu kituoni kuuliza
kama yupo wakasema sio mda mchache ameonekana kule alipoulizwa amefikaje akasema
amefika kwa mbinu zake ndipo jopo la wanamaombi likakusanyika na kumfanyia
maombi.
Baada ya
hapo wanamaombi wakaelekea nyumbani kwa
mtoto na kutoa vitu mbali mbali vya kishirikina kama kisu,wembe,msumali,
sindano ,sahani na vinginevyo alivyokua akitumia kuulia watu na kuwawangia
watoto wenzake kituoni hapo na alifanikiwa kuwapata watoto wanne ambao alikua
anafanyanao mambo ya kichawi.
Hata hivyo kila siku ikifika mida ya saa tisa
mchana amekua akila nyama za watu na kula damu za watu. Pia amekua akifanya
mapenzi na majini kumi na mbili kwa siku.
Baada ya
hapo likafuatia tukio la kuchoma moto vitu vyake katika ile sehemu yake ya
kuondokea kwenda kufanya shughuli zake za kichawi.
Chanzo http://pamojapure.blogspot.com
Chanzo http://pamojapure.blogspot.com
0 comments:
Post a Comment