MFANYABIASHARA
Costa aliyefariki Mei 3 mwaka huu kwa kuanguka kutoka gorofa ya tisa ya
Hoteli ya Concord iliyopo Kariakoo Jijini Dar es Salaam anataraji
kuzikwa leo kijijini kwao Mweka Moshi Mkoani Kilimajaro.
Mwili wa
Marehemu Shirima (47), ulisafirishwa jana mara baada ya kufanyiwa misa
takatifu na kuagwa na ndugu na jamaa Kanisani Kimara Temboni jijini Dar
es Saalam.
Marehemu
Shirima alikuwa ni mfanya biashara wa Urembo wa akina mama na alikuwa
akimiliki maduka kadhaa Kariakoo pia alikuwa akiendelea na Ujenzi wa
Jengo la Gorofa maeneo ya Kariakoo.
Marehemu ameacha Mjane na watoto 5.
0 comments:
Post a Comment