Nassari Akitoa damu kwa
Majeruhi Mlipuko wa Bomu.
MBUNGE wa Arumeru Mashariki, Jushua Nassari ametoa damu kwa ajili ya kuwachangia majeruhi waliolipukiwa na bomu katika kanisa
oa Parokia Mpya ya Olasiti mkoani Arusha leo.
Licha ya mbunge huyo pia Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema naye alichangia damu katika tukio lililotokea majira y
a saa 5:30 asubuhi na kuwahamasisha na wananchi wengine baada ya watu katika tukio hilo kupoteza damu.
0 comments:
Post a Comment