BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

HII NDIYO MELI YENYE KILA KITU MALI YA MAREKANI AMBAYO ITATIA NANGA KATIKA BAHARI YA HINDI TANZANIA UJIO WA OBAMA.

Maaskari na majasusi zaidi ya 500 kutoka Marekani tayari wapo Dar es Salaam.

Licha ya hilo, ziara yake kutakuwa na askari 1,687 wakataokuja kwa meli maalumu kubwa ya kivita (Pichani) iliyosheheni silaha mbalimbali, ikiwamo ndege sita za kiv
ita aina ya AV-8B Harrier na helikopta za kivita 23, ambazo zinatarajiwa kupasua anga la Tanzania kuimarisha ulinzi.

"Ujio wake utaipatia Tanzania zaidi ya dola milioni 800 (sawa na Sh. Trilioni 1.3)...na ataongozana na ujumbe wa wafanyabiashara 700 (alisema Membe).


Hizo ni shamrashamra tu...
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: