UJANA UNATABU KWELI KWELI !!! WEMA SEPETU AANZA KUJIDHALILISHA UPYA.
MWANADADA Wema Sepetu amenza kujidhalilisha kwa kuvaa kinguo kichoonyesha rangi ya mwili wake ambapo picha hizo zimetafsiliwa kuwani ni Nusu Utupu na kuzua Utata jambo ambalo mdada huyo anapaswa kuvaa nguo zenye heshima mbele za watu.
Hapa katika muonenoaka huo kulia akiwa na rafiki yake
Hii ndiyo picha iliyozua balaa na kuoneka mdada huyo kutojiheshimu kwa vazi hilo, miongozi mwa vitu ambavyo pande zoto za dini mwanamke hapaswi kuonekana mauongo yake ikiwemo mazima, kitovu na mwili kiujumla mmbele za wanaume ambao ni haramu kwake.
1 comments:
mhm ukiwa nje majuu mbona nguo inauzwa dukani na ni kawaida inategemea unaivaliwa wapi night club au wapi jamani
Post a Comment