BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

BREAKING NEWS: JENGO LA GHOROFA LAWAKA MOTO MTAA WA KAMATA JIJINI DAR ES SALAAM.


JENGO REFU KARIBU NA SUPERMARKET YA SHOPRITE KARIAKOO LINAWAKA MOTOOOOO MUDA HUUU.
Jengo la zaidi ya ghorofa nne zimewaka moto katika mtaa wa Kamata jijini Dar es Salaam, hata hivyo chanzo cha moto huo bado hakijajulikana.


Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: