BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

BREAKING NEWS !!!KESI YA UCHOCHEZI YA AKINA KIBANDA MAKUNGA WAIBWAGA SERIKALI MAHAKAMANI JIJINI DAR ES SALAAM.

Kesi ya uchochezi: Absalom Kibanda na Theophil Makunga waibwaga serikali Mahakamani !
Photo: Kesi ya uchochezi: Absalom Kibanda na Theophil Makunga waibwaga serikali Mahakamani!

- Hakimu Waliarwande Lema wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, hivi punde amewaachiwa huru, Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri, Absalom Kibanda na Mjumbe wa Bodi ya Jukwaa hilo, Theophil Makunda katika kesi ya jinai ya uchochezi iliyokuwa inawakabili. 

Hakimu Waliarwande Lema wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, hivi punde amewaachiwa huru, Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri, Absalom Kibanda na Mjumbe wa Bodi ya Jukwaa hilo, Theophil Makunda katika kesi ya jinai ya uchochezi iliyokuwa inawakabili. CHANZO Tanzania Nchi Yetu Sote



Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: