Habari zimesema moto huo ulioanza mapema mchana, haijajulikani chanzo chake mpaka sasa, inadaiwa nyumba zaidi ya 10 zimeteketea ikiwa ni pamoja na mali ambazo thamani yake haikuweza kufahamika mara moja.
Jitihada za kumpata Sheha wa eneo hilo ili kutoa maelezo zaidi hazikuzaa matunda kwani hakuwa anapatikana hata kwenye simu yake. CHANZO Immamatukio blog.
0 comments:
Post a Comment