PUNGUZA UZITO, UNENE, MAFUTA KWA KUTUMIA VYAKULA.
VYAKULA VISIVYO-TAKIWA
1. Ngano iliyokobolewa (mkate, chapati, maandazi, nk)
2. Wali
3. Ugali uliokobolewa
4. Mafuta ya kula (kupikia)
5. Sukari ya kuzidi (ice cream, sukari yenyewe ikizidishwa kwenye kinywaji cha aina yeyote)
NB: kuna somo nitaelezea kwa nini hivi vinasababisha mafuta mengi mwilini.
VYAKULA VINAVYO-TAKIWA
1. ASUBUHI
a) Green tea au Soya (unga wake), au mchaichai
b) Vitafunwa: viazi vitamu vilivyochemshwa, au maboga, ndizi za kuchemsha, nkate wa brown, viazi vitamu ndio bora zaidi na vinaharakisha kupunguza mafuta/uzito/unene.
2. MCHANA
Chakula cha aina yeyote isipokuwa vilivyoorodheshwa hapo juu (visivyotakiwa). Pata mboga za majani kwa wingi, pata tunda kabla ya mlo.
3. JIONI
a) Chakula cha aina yeyote isipokuwa vilivyoorodheshwa hapo juu (visivyotakiwa).
b) Ikiwezekana, jioni pata bakuli zima la mboga za majani kama utaweza, ambazo hazijapikwa zikaiva sana hadi kubadili rangi ya mboga. Pika kwa muda wa dk 3 uhakikishe rangi yake haibadiliki, ikiiva sana unaondoa umuhimu uliopo kwenye mboga hizo.
c) Pata tunda (matunda) kabla ya mlo
d) Muda mzuri wa kula chakula kwa jioni ni saa 1, ili mfumo wa kusaga chakula ufanye kazi kabla hujaenda kulala.
ZINGATIA:
1. Kunywa maji ya uvuguvugu dk 10 kabla hujala mlo wowote.
2. Kwa anayeweza, pata apple (tunda) dk 5 baada ya kunywa maji ya uvuguvugu, zikipita dk 15 baada ya kula apple (yaani dk 15 baada ya kunywa maji) ndipo upate mlo.
3. Usinywe maji baada ya mlo
4. Usinywe maji ya baridi, yanachangia kugandisha mafuta
MATOKEO:

Ndani ya wiki 2 utaona mabadiliko makubwa katika uzito wa mwili wako.
KUMBUKA:
KUMBUKA:
Pima uzito kabla hujaanza zoezi, endelea kufuatilia kupima
kila upatapo nafasi, itakusaidia kugundua uzito unapungua kwa kiasi gani
na kwa kipindi gani.
KWA USHAURI WA KITAALAM ZAIDI WASILIANA KUPITIA MAWASILIANO YA SIMU YA KIGANJANI.
Simu/Sms tu: 0715 594 564
WhatsApp tu: 0756 594 564

0 comments:
Post a Comment