BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

KENETH KIDAGO LYANGO AFARIKI DUNIA, NI MTANGAZAJI WA KITUO CHA EAST AFRICA RADIO.


Marehemu Kenneth Kidago Lyanga enzi ya uhai wake. Mbunifu Msaidizi na Mtangazaji wa Habari za Michezo wa East Africa Radio Kenneth Kidago Lyanga amefariki dunia nyumbani kwake Mwenge Mlalakua, Jijini Dar es Salaam.
Mipango ya mazishi ya Kenneth Lyanga inafanywa na familia yake. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya Marehemu Kenneth Kidago ambaye wahi pia kufanya kazi ya utangazaji katika kituo cha redio cha Ukweli FM, Morogoro akiwa miongoni mwa watangazaji wa kwanza wa redio inayomikiwa na kanisa katoliki ya St Patrick Morogoro. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu Mahala Pema Peponi, Amina.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: