BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

MAHAFALI YA SHULE YA AWALI YA EXCELSA ACADEMY YAWA KIVUTIO, MAHAFALI YAWA YA KIHISTORIA MOROGORO.



Walimu wa shule ya awali ya Excelsa Academy, Magreth Mng'ongo na Hyeronima Mtunguja kulia wakiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wao Marbon Rogers kulia Rehema Saidi (katikati) na Rahma Benjamin wote kila mmoja akiwa na umri wa miaka (6) wakati wa mahafali ya kuhitimu elimu ya awali ya shule iliyopo Kilakala Manispaa ya Morogoro ambapo mwaka huu 2014 wamejiunga na elimu ya msingi. PHOTO/MTANDA BLOG

HAPA: Marbon Rogers, kushoto na wenzake Rehema Saidi (katikati) na Rahma Benjamin wakiwa katika pozi mara baada ya kutunukiwa vyeti vya kuhitimu elimu ya awali katika mahafali hayo, Licha ya watoto watatu kuhitimu elimu hiyo mahafali hayo yamekuwa ya kihistoria kwa kukaribisha mwaka mpya 2014 na kuaga mwaka 2013 yakifanyika uwanja wa hoteli ya kitalii ya Kola Hill iliyopo kata ya Kilakala. PHOTO/MTANDA BLOG
Marbon Rogers akikabidhiwa cheti cha kuhitimu elimu ya awali na Mkurugenzi wa shule hiyo. PHOTO/MTANDA BLOG
 Rahma Benjamin.

Rehema Saidi

Risala ikisoma katika mahafali hayo.
Rahma Benjaminakionyesha moja ya michezo aliyokuwa akicheza na wenzake. PHOTO/MTANDA BLOG
 HAPA: Ni ile michezo ya kugombea kiti, ubabe ulitumika ili kuchukua ushindi ndivyo ilivyotokea.
KAMA: Hapa napo palitokea mfumio huo huo wa ubabe kwa huyo mtoto chini akiondolewa na mwenzake.PHOTO/MTANDA BLOG
WAZAZI: Wao walikuwa sambasamba kufutilia matukio yaliyokuwa yakiendelea katika mahafali hayo.
 
WAKIWA: Wamekaa kusubiri kuanza kwa sheerehe ya mahafali yao kuanza rasmi.
 WAKIJIANDAA: Wakiwa katika mstari tayari kuingia uwanja wa mahafali, Shule hiyo imekuwa kivutio kwa wazazi kutokana na umahili wa watoto kuzungumza vyema lugha ya Kingereza pamoja na michezo ambayo nayo imekuwa kivutio kikubwa kwa watoto hasa wale wenye umri mdogo.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: