WAKAFANIKIWA KUMDONDOSHA CHINI.
AKATAKA KUINUKA AKAPIGWA NGWALA.
AKAFANYIKIWA KUNDOKEA TUMBO NDIVYO HIVYO.
AKAJINYANYUA KISHA AKAONDOKA KWA MWENDO WA HARAKA MBEREEEE TEMBEEEA BAADA YA KUPOKEA KICHAPO.
Mpoki Bukuku
HIKI KICHAPO MTU UNAKULA KATIKA KUTAFUTA MAISHA, KUPIGANIA ZITTO AMA CHADEMA ?
Like · · Share · 3 hours ago ·
- Ruby Satary likes this.
- Nyanda Josiah Shuli Hizo picha pamoja na ile ya front page Mwananchi leo ni picha za aina yake. Vurugu hizi ni mapenzi ya chama au mapenzi kwa wanasiasa?
- Boniface Meena hawana kazi ndo maana wako hapo
- Marato George Je imekuaje mahakamani leo jamani?
- Mpoki Bukuku Judge anaahirisha eti atasoma saa kumi, si kichapo kitakuwa balaa!
- Boniface Meena asome hayo maamuzi ya mahakama aache kuzingua
0 comments:
Post a Comment