Mfanyabiashara Khalid Hafif kushoto akinunua beberu la mbuzi kutoka kwa mchuuzi mtaa wa Fondogolo kwa ajili ya kumchinja na nyama yake kuuza katika duka la nyama lililopo mkabala na stendi kuu ya daladala yaendayo nje ya Manispaa ya Morogoro.PHOTO/MTANDA BLOG
Kijana mkazi wa Manispaa ya Morogoro akiendesha baiske huku akiwa amebeba tenga lenye ndizi mbivu kichwa mara baada ya kununua kutoka kwa wakulima kwa bei ya jumla kisha kuuza kwa bei ya reja reja stendi kuu ya mabasi yaendayo mikoani ya Msamvu mkoani Morogoro.PHOTO/MTANDA BLOG
0 comments:
Post a Comment