BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

RAIS KIKWETE NA MAKAMU WAKE WATOA SOMO KWA MBOWE NA LOWASSA.

 
DK Mueleweshe sana huyo Lowassa mpaka aelewe na mimi nampa darasa la nguvu Mbowe !!!.

Rais Jakaya Kiwete wa pili kutoka kushoto akizungumza jambo na Mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeman Mbowe wa kwanza kushoto huku Makamu wake Dk Mohamed Bilal naye akiwa na kazi kama hiyo wakati naye akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa kulia moja ya shughuli zilizowakutanisha viongozi hao.

Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: