SHERIA MKONONI NAMNA INAVYOENDELEA KUTENDEKA TANZANIA KWA WAHARIFU, WAWAADHIBU HADI KUFA, NI KUNDI LINALODAIWA KUITWA WATOTO WA MBWA KIWALANI JIJINI DAR ES SALAAM.
Wananchi wenye hasira kali eneo la Kiwalani jijini Dar es Salaam wakitoa kipigo kwa vijana wanadhani kuwa ni wezi wanaosumbua mitaani kwa kuiba na kukwapua, vijana hao maarufu kwa kujiita watoto wa MBWA ambao wanakadiliwa kufikia idadi ya 40 ambapo kati yao vijana sita wameshambuliwa na wananchi wa Kiwalani.
Hadi mdau wa habari hizi anaondoka eneo la tukio aliwaacha vijana hao wameshaaga dunia kufuatia kipindo kikali kilichoambatana na Mawe, matofali, mashoka, Nondo na vifaa vingine vyenye ncha kali.
0 comments:
Post a Comment