BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

HABARI MPYA !!! ASKARI POLISI WATANO WAFARIKI DUNIA PAPO HAPO KATIKA AJALI MBAYA ILIYOTOKEA JANA USIKU KWA KUGONGANA NA BASI DODOMA.

Ajali mbaya ya kusikitisha imetokea Jana usiku majira ya saa nane ambapo gari ya ya polisi iliyokuwa inatoka Dodoma kwenye sherehe ya polisi iliyokuwa inafanyika katika ukumbi wa mipango.
Gari hiyo iliyokuwa imebeba polisi na ilikuwa inaelekea kongwa imegongana na basi ya Mohamedi katika eneo ambalo ni nje kidogo ya mji (Mitumba) ambapo wanawake wawili na wanaume wa tatu wamefariki papo hapo Ambao wote ni Polisi.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: