BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

MTANGAZAJI WA CLOUDS FM APACHIKA PICHA ZA KUMSHUSHIA HESHIMA.



 
DIVA AKIWA AMEVAA NGUO ZA HESHIMA.

MTANGAZAJI wa kike wa Clouds FM, DIVA ameweka tena picha mtandaoni zinazomwonyesha sehemu kubwa ya kifua chake kikiwa wazi jambo linalochangia kuendelea kupunguza heshima ya mwanamke.

Haikuweza kufahamika mara moja lengo la uwekaji wa picha hizo ambazo zipo katika mfumo wa siri.

Moja ya sifa ya mtangazaji ni kukemea maovu na kuelimisha lakini kwa kitendo hiki cha Diva pengine kinamshushia heshima kutokana na kitendo hicho na kumdhalilisha mwanamke wa kitanzania.http://4.bp.blogspot.com/-7eOdRarsSX8/Uxwppa-hoRI/AAAAAAAAOl4/xNCx14A2Zco/s1600/diva3.jpg
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: