BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

TAMBUA DALILI ZA MPENZI WAKO AMBAYE HANA MAPENZI YA KWELI KWAKO, HIZI NDIZO DALILI ZAKE,

millennialsMawasiliano..
SIKU hizi njia za mawasilano ni nyingi saana aidha muwe karibu ama mbali mbali na Mpenzi wako… Hoever ni kwamba kila ukiwasiliana na Mpenzi wako… wee ndio unamuanza la sivyo yaweza pita days or weeks na hana habari… labda tu apige akiona mda umepita saaana – or else ni Kimya….

Ushirikiano…
The only Ushirikiano S/he knows ni Sex… nje ya hapo ni kulazimishwa ama kwenda kujirusha…(na mara nyingi hii ni kutaka tu kuonana na wewe kwa rafiki zake ama vijiwe); Ukipata matatizo kama sickness, msiba ama tatizo lolote linalo hitaji uwepo wake…. Always yupo busy…



Ndugu na Jamaa
Mna uhusiano ambao ni six months onwards but hajawahi kukutambulisha kwa ndugu yake yeyote Yule – kajitahidi saana ni friends wa hapa na pale; nao sababu tu mnakutana outings or vijiwe vyake…



Sweet Haven…
Hajawahi hata siku moja kukukaribisha kwake na hali anaishi peke yake (au alikupeleka kupaona – or maybe just kuonesha level yake iko vipi) but hata siku moja hamjawahi spend faragha hapo na uhusiana una more than six months…. Zaidi it is your place or motel (hii hasa kwa guys…); Na uking’ang’ania saana huishia kununa but still in short hapendi wewe u-spend mda kwake…



Jealousy….
Wivu katika Mapenzi ni moja ya aspect muhimu… But hata hivo viwango vya wivu ni muhimu saana kua observed kati ya Wapenzi wahusika… Wivu wa kukithiri katika Mapenzi; from my observation katika jamii, husababisha madhara makubwa kama kufanya kitu wawza jutia… Kuua (Mpenzi ama mwizi wa mpenzi) na hata kujiua mhusika… Mbaya saaana hii…

However Wivu Mno ni mbaya… ila Wivu at minimal katika Mapenzi ni muhimu for hua kama chachu ya hao wapenzi.. Wivu ni moja ya njia ya kujua kua Mpenzi wako anakupenda ama lah! (Sina maana ufurahie mtu wako akiwa over possessive! No - Ila reasonably possessive)




Material Needs…
Kila akionana nawewe lazima akupige mzinga… (tena usipompa anakununia kama vile aliwekeza kwako…); Haishi ku demand nataka hiki mara kile… mara shida ya cash ya hiki ama kile… and the like… For the one who is in to you hata kama yupo dependent kwako – kuna nidhamu kidogo katika uombaji wake ; nayo pia hua once in a while…




Name Calling…
Kuna names ambazo kweli sio heshima kabisa kumuita Mpenzi wako… let alone mbele yake.. Kama huyo mpenzi wako hakueshimu to the extent ya kuweza kuita names ambazo hazifai… then S/he is not into you… I hate the name ‘dame’ naamini Mpenzi akupendae hawezi sema hilo neon – for kama muelewa then hapo hapo ni kwamba anaharibu uhusiano delibatately…




Public appearances…
Hataki kabisa wala hata siku moja kuonekana yupo pamoja na wewe…. Mkitembea kwa miguu mmoja mbele mmoja nyuma… au kutembea ndani ya gari tu toka mlipotoka mpaka muendapo… Daima hakuna watu huwaona pamoja.. labda kama wale baki ambao hawawezi wafahamu… On top of that kila mkionana ni gurantee s/he needs a shag… hakuna intimacy kati yenu zaidi ya sex…



Saying “I Love you”
Ukimwambia I love you… anakujibu “Thank you” OR kutumia phrases za kijanja kama “I love the way you say you love you” na kuishia hapo na kukupotezea (the good thing ni kua at least s/he is frank…lol)



Speacial Romantic Moment….
Hii ni Courtesy ya Mwanajamii1 (MJ1)… imeonekana wazi kua katika Mapenzi kuna SRMs hazihitaji gharama kubwa na sometimes yoyote ile… Hivo basi kama uko nae for long but hata hajawahi kukufanyia (create an environment) ya SRM.. then he is not it to you… kuhusu hili waweza pata zaidi katika hii LINK ya SRM Courtesy ya MJ1.


DISCLAIMER.
Note that kuna watu wamejaliwa roho ya Imani… aweza baadhi ya mambo hapo juu kikamilifu kabisa kama inavotakiwa but still akawa not in to you…


Kumbuka kua naweza kua Wrong katika assumptions zangu... hivo basi naomba Comments zenu iwe ni opinion/masahihisho/addition ama lolote lile.... Karibuni.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: