BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

AFISA HABARI WA JESHI LA POLISI ARUSHA AKUTANA NA WADAU WA HABARI MOROGORO.

Afisa habari wa jeshi la polisi mkoa wa Arusha, Mkaguzi Msaidizi wa Polisi, Rashid Nchimbi kulia akiwa na mmiliki wa Mtanda Blog, Juma Mtanda kushoto wakati afisa huyo alipowatembelea na kukutana na wadau mbalimbali wa habari katika ziara ya kukuza mahusiano Manispaa ya Morogoro.

Afisa habari wa jeshi la polisi mkoa wa Arusha, Mkaguzi Msaidizi wa Polisi, Rashid Nchimbi (katikati) akiwa na mmiliki wa Mtanda Blog, Juma Mtanda kulia na Mkurugenzi wa Kampuni ya K3 Technology Limited Dar es Salaam, Jackson Kaponda kushoto wakati afisa huyo alipowatembelea na kukutana na wadau mbalimbali wa habari katika ziara ya kukuza mahusiano Manispaa ya Morogoro.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: