BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

MSICHANA ALIYEMEZA KIAZI KITAMU TUMBONI KAMA KINGA YA KUZUIA MIMBA YAMTOKEA MAAJABU YA DUNIA.


Kiazi kilipatikana kikimea ndani ya kizazi cha mwili wa mwanamke mmoja baada ya kujaribu kukitumia kama kifaa cha kuzuia mimba.

Msichana huyo mwenye umri wa miaka 22 kutoka nchini Colombia ambaye jina lake halikutajwa alijaribu kutumia kiazi hicho ili kuzuia mimba na alipomtembelea daktari baada ya kulalamika kuhusu maumivu ya tumbo ,iligunduliwa kuwa kiazi hicho kilikuwa kimeota mizizi ambayo ilianza kumea ndani ya kizazi chake.

Kulingana na Gazeti la Nation nchini kenya msichana huyo amedai kuwa mamaake alimshauri kwamba iwapo angependelea kuzuia mimba basi alifaa kuweka kiazi ndani ya kizazi chake.

Licha ya hatari aliyokumbana nayo mwanamke huyo hakuathirika huku kiazi hicho kikitolewa bila kufanyiwa upasuaji.BBC
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: