BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

MAGAIDI NI HATARI: MJI MKUU WA UBELGIJI CHINI YA ULINZI MKALI WAKIOFIA MASHAMBULIZI

Waziri Mkuu wa Ubelgiji, Charles Michel amesema hali ya tahadhari itaendelea kubaki kwa kiwango cha juu katika mji wa Brussels.

Waziri huyo amesema wasiwasi wa tishio la ushambulizi kama lililowahi kutokea siku kumi zilizopita mjini Paris bado ni mkubwa.

Lakini kuanzia Jumatano shule zitafunguliwa na usafiri wa treni katika mji mkuu utakuwepo tena.

Mamlaka ya Ubelgiji imesema mpaka sasa inawashtaki watuhumiwa wanne kwa kujihusisha katika shughuli zinazohusiana na ugaidi.

Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: