BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

MASHAMBULIZI YA KIKGAIDI YA JIJI LA PARIS UFARANSA YALIONGOZWA NA KIONGOZI MLEVI WA KUNYWA POMBE NA KUVUTA BANGI.


Mshukiwa aliyeongoza mashambulio ya kigaidi mjini Paris Abdelhamid Abaaoud,alionekana akinywa pombe na kuvuta bangi na watu wengine nje ya nyumba yake baada ya mauaji hayo.
Walionekana wakivuta bangi na kunywa pombe, ''huonekana katika barabara kila mara..sasa nawajua,sasa nawajua'', mmoja ya mashahidi alikiambo chombo cha habari cha Sky News.

Shahidi mwengine aliliambia gazeti la Daily Mail nchini Uingereza :''Alikuwa barabarani na chupa ya pombe aina ya whiskey na aliniomba ninywe''.

''Niligundua kwamba alikuwa mtu wa aina gani baadaye''.

Abaaoud aliuawa wakati wa uvamizi wa polisi katika nyumba yake iliopo St. Denis siku ya Jumatano.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: