BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

TAHADHARI HAINA UJINGA.

 
SIJUI KAMA NI KWELI ILA TAHADHARI NI MUHIMU.

Hivi karibuni kumetokea kusambaa kwa taarifa ya vifaa vya kuhifadhia funguo katika mitandao mbalimbali ya jamii.


Taarifa hizo zinasambazwa kwa kasi zikitoa tahadhari juu ya vifaa hivyo vyenye uwezo wa kufunga funguo ya aina yoyote kwa mtumiaji.

"Usikubali kupokea key holder hizi (kibeba funguo)
Zaelezwa kuwa zina chip ndani yake inayoweza kumuonyesha mwenendo wako na location ulipo hadi kwako kupitia GPS inayomtambulisha aliyekupa na hivyo ukafanyiwa hata uhalifu ikiwezekana."


Hayo ndio baadhi ya maneno yanayopatikana katika mitandao ya kijamii sambamba na picha hapo juu.

Chukua hatua.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: