BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

TASWIRA YA MAADHIMISHO YA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI DUNIANI NAMNA YALIVYOTIKISA WAKAZI WA MOROGORO SEHEMU YA MWISHO

Baadhi ya wapigapicha wakiendelea kuchukua picha katika matukio yaliyokuwa yakiendelea wakati siku ya uhuru wa vyombo vya habari duniani yaliyohitimishwa kwa kongamano ukumbi wa KingStone Nane Nane Manispaa ya Morogoro Mei 3 mwaka 2016. PICHA ZOTE/MTANDA BLOG
Mratibu wa chama cha waandishi wa habari Morogoro Thadei Hafigwa akizungumza jambo kwa wanafunzi wa kozi ya uandishi wa habari kutoka vyuo mbalimbali makao makuu ya chama hicho mtaa wa Nunge. 




Mwakilishi wa Gazeti la Tanzania Daima mkoa wa Morogoro, Joseph Malembeka wa tatu kutoka kulia akifuatilia matukio sambamba na waandishi wengine


Mwandishi wa Iman Tv NA Radio Iman FM, Uchuli Chikela akitambulishwa kwa waandishi wachanga


Mkuu wa chuo cha uandishi wa habari Morogoro Agustine Nongwe akifafanua jambo katika kongomano hilo

 
Mwenyekiti mstaafu wa chama cha waandishi wa habari mkoa wa Morogoro (Moropc) Aziz Msuya akitoa mada kwenye kongamano hilo lililoshirikisha wanafunzi wa kozi ya uandishi kutoka vyuo mbalimbali vya Manispaa ya Morogoro
Mwakilishi kampuni ya Mwananchi Communicatins LTD mkoa wa Morogoro, Amina Juma akieleza jambo wakati akiwasirisha mada ya maadili katika maadhimisho hayo

WAKONGWE !! Kutoka kushoto ni Monica Lyampawe (TBC) Aziz Msuya (Mwananchi), Boninveture Mtalimbo, Amina Juma (Mwananchi), Laatifa Ganzel (Uhuru) na Kaslaida Mgeni (StarTv na Radio Free) wakiwa katika ukumbi wa KingStone katika hafla hiyo.
Mwenyekiti mstaafu wa chama cha waandishi wa habari mkoa wa Morogoro (Moropc) Boninveture Mtalimbo akitoa mada juu ya maadili.
Mwakilishi wa Star Tv na Radio Free mkoa wa Morogoro Kaslida Mgeni akichangia jambo katika kongomano hilo


Mwenyekiti wa chama cha waandishi wa habari mkoa wa Morogoro (Moropc) Nickson Mkilanya akizungumza jambo katika kongamano
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: