MBUNGE WA JIMBO LA KILOMBERO PETER LIJUALIKALI AHUKUMIWA KWENDA JELA MOROGORO mtanda blog 2:35 PM kitaifa , slider Edit Picha ya maktaba ikimuonyesha mbunge Peter Lijualikali akiwa katika hekaheka na askari polisi. Mahakama ya Wilaya ya Kilombero imemhukumu Mbunge wa jimbo la Kilombero, Peter Lijualikali kwenda jela miezi sita leo mkoani Morogoro. Licha ya mbunge huyu kuhukumiwa kifungo hicho wapo watu wengine waliohukumiwa katika shtaka hilo. Share on Facebook Share on Twitter Share on Google Plus About mtanda blog Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment