BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

MGOMBEA URAIS CUF PROFESA IBRAHIM LIPUMBA




.
Mgombea urais kupitia chama cha wananchi (CUF) Profesa Ibrahim Lipumba akihutubia wakazi wa Manispaa ya Morogoro wakati wa mkutano wa hadhara wa kampeni za chama hicho katika eneo la kituo cha zimamoto kata ya Sabasaba mjini hapa.
Mgombea urais kupitia chama cha wananchi (CUF) Profesa Ibrahim Lipumba kulia akimnadi mgombea ubunge jimbo la Morogoro mjini Abeid Mlapakolo.
Askari wa kuliza ghasia Manispaa ya Morogoro (FFU) wakiwa wameimarisha ulinzi katika eneo hilo.
Wanachama na wapenzi wa chama cha wananchi (CUF) wakiwa katika maandano ya kumpokea mgombea urais wa chama hicho Profesa Ibrahim Lipumba.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: