BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

SALOON KABAMBE YA KISASA YA LEHANA EXERCUTIVE BARBERSHOP YAFUNGULIWA MJI WA IFAKARA.

MJI WA IFAKARA kwa sasa ni mji unaondelea kukua siku hadi siku na moja ya huduma pengine zilikuwa zinapatikana mkoani hivi sasa zinapatikana katika mji huo.

Moja wa huduma hizo ni kuwepo kwa huduma ya saloon ya kisasa (BARBERSHOP) ya kiume pamoja na kike zenye huduma bora za viwango vya kimataifa Iliyopo mtaa wa Jerusalem kando yabarabara kuu ya Mahenge na Morogoro.

Saloon hizo zinatoa huduma zote muhimu za usafi wa nywele kwa wanaume na kike ambayo inamfanya mteja baada ya kuhudumiwa kujikuta ni msafi kama ametoka nyumbani.

Moja ya viti vinavyotumiwa na wateja wake wakati wakipata huduma ya kunyolewa nywele ni vyakisasa hata na vile vinavyotumiwa na watoto vimekuwa na kivutio kikubwa kwa watoto wasumbufu kwani hujikuta watulivu kutokana na michezo mbalimbali iliyowekwa katika kiti hicho chenye umbo la gari.

Ni kiti maalumu kwa ajili ya watoto wanachotumia wakati wananyolewa na mtoto hujishughulisha zaidi na kazi ya kuchezea usukani, kupiga honi na n:k.

Mtoto hunyolewa bila shida yoyote hata kama amekuwa na usumbufu katika saloon nyingine, kutokana na kiti hicho hujikuta ametumbukia katika michezo na wasaa huo kinyozi hufanyaka kazi yake pasipo na bughuza.
Mtoto akinyolewa nywele huku akionekana yupo bussy na kuchezea mfano wa gari ndogo lenye kila aina ya michezo awapo saloon hapo.
Kinyozi akimnyoa mteja katika viwango bora kabisa kisha kufuatia na huduma nyingine.
Hapa mteja akipatiwa huduma maalumu ya kukausha nywele baada ya kuoshwa maji.
Mandhari ya saloon ya kiume kwa ndani ambapo mteja ataweza kuona televisheni iliyounganishwa na king'amuzi inayotoa fursa ya kuona chanel mbalimbali ikiwemo soka na n:k
Hii ni huduma ya kuosha miguu katika nyayo kwa kutumia mashine maalumu
Baada ya mteja kunyolewa nywele, mashine huifadhiwa sehemu maalumu ambayo ina joto yenye kuua wadudu kutoka kwa mteja moja na kuzuia kuambukiza kwa mteja mwingine.
Muonekano wa Saloon ya kiume na kike kwa nje eneo la mtaa wa

Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: